Zamaradi Kufungua TV Yake, Avutiwa na Sam Misago. - Mase Kaleby

Home Top Ad

Thursday, 27 December 2018

demo-image

Zamaradi Kufungua TV Yake, Avutiwa na Sam Misago.

Zamaradi-Mketema+-+Mase+kaleby+blog

Mwanadada Zamaradi Mketema ambae hapo awali iliwahikusikika kuwa alitakiwa kufanyakazi na wasafi tv lakini baadae taarifa hizo zilikuja kuzimwa baada ya  hasa baada ya kusemekana kuwa waili hao wamegombana hivyo kushindwa kufika muafaka wa kufanya kazi.

Hata hivyo baada ya hapo zamaradi alikuwa kimya kwa muda mrefu lakini anaoenaka kurudi tena na safari hii ametangaza kuwa anatarajiakufungua tv yake mwenyewe.

Lakini kati ya watu ambao mwanadada huyo aliwasifia alikuwa ni mtangazaji Sam misago kutoka EATV anaentangaza kipindi cha FNL.

Katika ukurasa wake , Zamaradi aliandika “kwsasa hivi ninahitaji kuku na kuwa na vitu vyangu mwenyewe, kuna mtukama sam misago sijui yuko wap lakini amekuwa akifanya vizuri sana.na mimi ninahitaji kufungua zamaradi tv kwa sasa, kwaio nimechukua mapumziko ili kuanzisha vitu vyangu mwenyewe

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *