Bernard Morisson kusaini Simba SC. - Mase Kaleby

Home Top Ad

Saturday, 8 August 2020

demo-image

Bernard Morisson kusaini Simba SC.


IMG_20200808_145128

 Hatimaye baada ya tetesi za muda mrefu, klabu ya @SimbaSCTanzania leo imetangaza kumsajili Bernard Morrison kutoka mahasimu wao Yanga. Morisson alijiunga na Yanga katika ngwe ya pili ya msimu uliopita na hatimaye leo amevuka barabara kutoka Jangwani mpaka Msimbazi. 

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *