RC Makonda ampa siku 3 DC Ilala, la sivyo....! – VIDEO - Mase Kaleby

Home Top Ad

Friday, 22 March 2019

demo-image

RC Makonda ampa siku 3 DC Ilala, la sivyo....! – VIDEO

mk

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku tatu tu kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema na mkurugenzi wake wa manispaa kuhakikisha kwamba mkataba wa machinjio ya Vingunguti umesainiwa na mkandarasi amepatikana na ndani ya siku tano ujenzi uanze.

Makonda pia ametoa maagizo kama hayo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuhakikisha kuwa mradi Fukwe za Coco na masoko yake uwe unapata mkandarasi.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *