VIDEO: Himidi Mao, Kocha waahidi ushindi kesho "Uganda hatoki" - Mase Kaleby

Home Top Ad

Saturday, 23 March 2019

demo-image

VIDEO: Himidi Mao, Kocha waahidi ushindi kesho "Uganda hatoki"

Kwa siku ya kesho sisi kama wachezaji tutajituma kwa hali na mali ili kuweza kufanikisha ushindi ili nasisi tuweze kufuzu kucheza AFCON mwakani, Tunaomba Dua kwa Tanzania wote wawe na sisi bega kwa bega ili kuweza kufanikisha dhamira yetu kwa nguvu moja na kwa ushikamano pia.


No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *