Chadema yaonywa kwa matumizi ya wimbo wa Taifa. - Mase Kaleby

Home Top Ad

Wednesday, 5 August 2020

demo-image

Chadema yaonywa kwa matumizi ya wimbo wa Taifa.

IMG_20200805_080528
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi ameionya @ChademaTz kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa jana wakati  wa kupitisha jina la atakaye peperusha bendera ya Chama hicho katika nafasi ya Urais.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *