Wanafunzi wa vyuo vikuu wamejitokeza Mlimani city kwa siku ya Jana na kueleza nia yao ya kumuunga mkono Mgombea wa Uraisi kupitia @ChademaTz Tundu Lisu na kuweka imani yao juu ya mgombea huyo wa chama pinzani na kuamini kuwa ndio mtu atakae kuja kuleta mafanikio na mabadiliko katika nchi ya Tanzania. Je ni kweli au itakua ni porojo tu za wanasiasa wakati wa uchaguzi mkuu unapokalibia kwa kila chaguzi, nini maoni yako kama mfuatiliaji wa siasa za Tanzania.
Wednesday, 5 August 2020

Wanafunzi wa vyuo wajitokeza kwenye mkutano wa chadema na mabango.
Tags
# Politics
Share This
About mase kaleby
The purpose of this blog is to provide you with a great deal of information or information about the world, both the external and the inside as well as to give you or to teach you how to invest and to refresh you through the information, thank you very much and keep track of the content of this blog.
Newer Article
WAZIRI WA AFYA LEBANON,(vifo vimefika zaidi ya 70)
Older Article
Chadema yaonywa kwa matumizi ya wimbo wa Taifa.
Wanafunzi wa vyuo wajitokeza kwenye mkutano wa chadema na mabango.
mase kalebyAug 05, 2020VIDEO: Trump says making schools safer will be top priority after Florida shooting
mase kalebyFeb 16, 2018US Senate leaders strike US$300 billion bipartisan spending deal
mase kalebyFeb 08, 2018
Tags
Politics
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment