WAZIRI WA AFYA LEBANON,(vifo vimefika zaidi ya 70) - Mase Kaleby

Home Top Ad

Wednesday, 5 August 2020

demo-image

WAZIRI WA AFYA LEBANON,(vifo vimefika zaidi ya 70)


IMG_20200805_170945

Waziri wa Afya wa Lebanon amesema vifo vilivyotokana na mlipuko Bandari ya Beirut jana vimefikia zaidi ya Watu 70 huku majeruhi wakivuka 4000, Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diab ametangaza siku ya leo jumatano kuwa ni siku ya maombolezo kufuatia vifo hivyo.

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *