JOSE MOURINHO: Paul Pogba hatovaa tena kitambaa cha unahodha - Mase Kaleby

Breaking

Home Top Ad

Tuesday, 25 September 2018

JOSE MOURINHO: Paul Pogba hatovaa tena kitambaa cha unahodha


JOSE MOURINHO: Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kwamba Paul Pogba hatovaa tena kitambaa cha unahodha kwasababu ya wasiwasi wa tabia ya kiungo huyo.

Pogba ameambiwa uamuzi huo katika kuelekea kwenye mchezo wa leo wa michuano ya Carabao Cup leo usiku dhidi ya Derby Country ni baada ya kauli ya kiungo huyo ya hadharani kuhusu mbinu za klabu.


.

No comments:

Post a Comment