LIONEL MESSI: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina ampigia kura Ronaldo - Mase Kaleby

Breaking

Home Top Ad

Tuesday, 25 September 2018

LIONEL MESSI: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina ampigia kura Ronaldo


LIONEL MESSI: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi jana usiku kwenye tuzo za FIFA Best Men's Player alimpigia kura mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo.

Lakini mshambuliaji huyo wa Ureno na Juventus, Cristiano Ronaldo hakumpigia kura Lionel Messi.

No comments:

Post a Comment