Kylian Mbappe amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mdogo kutajwa kwenye kikosi bora cha FIFPro World XI - Mase Kaleby

Breaking

Home Top Ad

Tuesday, 25 September 2018

Kylian Mbappe amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mdogo kutajwa kwenye kikosi bora cha FIFPro World XI


KYLIAN MBAPPE: Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Paris Saint-Germanin (PSG), Kylian Mbappe amekuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mdogo kutajwa kwenye kikosi bora cha FIFPro World XI akiwa na miaka 19, rekodi hiyo ilikuwa inashirikiliwa na mshambuliaji wa Argentina na klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi.

No comments:

Post a Comment